March 7, 2026

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Tume yatoa ratiba mpya Vyama vitakavyochukua fomu vyaongezeka

Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline

,Dodoma

VYAMA ambavyo wagombea wake watachukua   Fomu za kugombea Urais  vimeongezeka,Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi(INEC) imetoa ratiba mpya.

Kwa mujibu wa INEC  imetaja vyama vilivyoongezeka kuwa ni SAU,UDP,CUF na ACT WAZALENDO.