Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online
Leo tarehe 20 Machi 2023 TCD imekutanisha viongozi wa vyama vya Siasa Wilaya ya Mjini, Zanzibar katika uzinduzi wa Jukwaa la Majadiliano ngazi ya Wilaya.
Vyama hivyo ni CCM, CHADEMA, CUF, ACT- Wazalendo na NCCR MAGEUZI.

Salamu za Ufunguzi zimetolewa na Mhe. Mbarouk Seif Salimu Naibu Katibu Mkuu CUF na Mussa Shehe kutoka Ubalozi wa Marekani.


More Stories
Usajili wa Laini za Simu: Jilinde Dhidi ya Kutumiwa Vibaya kwa Utambulisho Wako
TTCL yaadhimisha siku ya Wanawake kwa kutoa msaada JKCI
Wananchi Dodoma washauri TBA kujenga nyumba za kupangisha watu binafsi