Na Mwandishi wetu,Timesmajira
Shirika la Kuendeleza Kilimo Hai Tanzania (TOAM) na Mamlaka ya Uwekezaji Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA), wanaongoza ujumbe wa kibiashara katika maonesho ya kimataifa ya biashara ya bidhaa za kilimo hai (BIOFACH 2026) wakiongozwa na mkakati wa Taifa wa Kilimo Ikolojia Hai (NEOAS 2023.2030) na kuendana na ajenda 2030.


More Stories
UWT yahimizwa kusimamia malezi bora
Uwekezaji wa Michezo wavutia Watalii Tanzania
Mkurugenzi Bonde Rufiji, ahimiza utunzaji vyanzo vya maji