January 23, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Samia awasili Wilaya ya Nyasa

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Rais Samia Suluhu Hassan amefika Wilaya ya Nyasa kwa takribani zaidi ya miaka 14 hakuna Rais aliyewahi kukanyaga huku.

Rais Samia amefika pasipofika kwa kuwajengea barabara na huduma za maendeleo.