January 4, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Samia apiga kura Kitongoji cha Sokoine

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika kitongoji cha Sokoine, Chamwino mkoani Dodoma tarehe 27 Novemba, 2024.