January 18, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Samia ampendekeza Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amependekeza jina la Makamu wa Rais kuwa ambaye ni Philip Mpango ambaye ni Waziri wa Fedha na Mipango