January 10, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo na Spika Job Ndugai

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.