


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye wakifurahia mara baada ya pamoja kufungua jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akizungumza jambo na mgeni wake Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye wakati akimtambulisha kwa baadhi ya Mawaziri wa Tanzania katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma leo. Picha zote na Ikulu
More Stories
TAMISEMI yaomba kupitishiwa bajeti ya shilingi Trilioni 11.78
Sekiboko ahimiza uwekezaji Elimu ya ufundi
CAG alivyoibua madudu mashirika ya umma