December 23, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Profesa Joyce Ndalichako akipokea fomu za kuomba kuteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kugombea ubunge katika Jimbo la Kusulu Mjini mwishoni mwa wiki. Uchaguzi wa madiwani, wabunge na urais unatarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu. Na mpiga picha wetu.

Profesa Joyce Ndalichako achukua fomu ya ubunge