Waziri Mkuu wa Zamani, Mizengo Pinda akipata ufafanuzi kutoka kwa mgunduzi wa mita akimuelezea jinsi mita hiyo inavyotoa taarifa pale maji yanamwagika hovyo mtaani na unlipia maji kabla ya kuyatumia wakati alipotembelea banda la Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech) kwenye maonesho ya 46 ya Sabasaba.
More Stories
TANESCO yapata Nafasi ya Pili kwa Usimamizi wa Fedha
Watendaji ,viongozi wapewa elimu ya udhibiti
Chawino kufanya uchaguzi mdogo