Na Mwandishi wetu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ameutaka Uongozi wa Chuo cha kati Elimu ya Afya...
Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma. WAKALA wa Barabara Tanzania(TANROADS)imesema imefanikiwa kukamilisha jumla ya miradi 14 yenye urefu wa kilometa 883 katika kipindi...
Na mwandishi wetu, TimesMajira Online Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb)akutana na Balozi wa China...
Na Doreen Aloyce, TimesMajira Online, Dodoma WATANZANIA wametakiwa kuchangamkia fursa ya kuwania Tuzo za Ubora za Kitaifa kwa mwaka 2022/2023...
Na Suleiman Abeid, Timesmajira Online Shinyanga MADIWANI katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga wameelezea kuridhishwa na kasi ya utendaji kazi...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema Mripuko wa Maradhi...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Alhaj Othman Masoud Othman, amejumuika na Waumini...
Na Judith Ferdinand, TimesMajira Online, Mwanza Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa(UN),limeeleza kuwa kila sekunde 24, mtu mmoja...
Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online MADEREVA malori wameigomea kampuni ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es...
Na Zena Mohamed, Timesmajiraonline, Dodoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi Uzinduzi...