Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikina na wizara ya afya imepanga kuendesha kamapeni ya polio...
Na Israel Mwaisaka, TimesMajira Online, Nkasi MBUNGE wa viti maalumu mkoa wa Rukwa Bupe Mwakang'ata (CCM) amewaondoa hofu Wananchi juu...
Na Penina Malundo, timesmajira CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM), kinatarajia kukamilisha mfumo ambao utakuwa unaonesha wakati wote mwanafunzi wa Chuo...
Hamisi Miraji, Timesmajira Online Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutoka visiwani Zanzibar wamelipongeza Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) kwa...
Na Yusuph Mussa, Timesmajira Online, Korogwe MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe Halfan Magani amewataka Wasimamizi Wasaidizi wa...
Na Judith Ferdinand, Timesmajira Online,Mwanza Wilaya ya Ilemela Mkoa wa Mwanza inatarajia kupokea Mwenge Julai 14,2023 ukitokea katika Wilaya ya...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Waziri wa Nishati January Makamba amesema bomba la TAZAMA lenye urefu wa Km 1,710 kutoka...
Na Agnes Alcardo, Timesmajira Online, Dar es Salaam WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini RITA, yasajili vyeti vya kuzaliwa ndani...
Na David John,Timesmajiraonline,Kilimanjaro WANANCHI waishio katika vijiji vya Rikweni, Heikondi, Tae na Mahande vilivyopo Kata ya Same Mkoani Kilimanjaro wamesema...
Ofisa Uhusiano wa wanahisa wa Kampuni ya Uwekezaji ya NICOL, Irene Nkya, (kushoto) akiwahudumia baadhi ya wateja waliofika kwenye banda...