Judith Ferdinand, Timesmajira Online-Mwanza Wenyeviti wa mitaa ya nane ya Kata ya Pasiansi wameombwa kusaidiana mabalozi kutengeneza kamati za ulinzi...
Na Irene Clemence,Timesmajira SERIKALI imeanzisha mfumo mpya wa mikondo miwili katika elimu ya sekondari ikiwa ni hatua ya mageuzi makubwa...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) kwa kushirikiana na taasisi za umma na binafsi pamoja na...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Taifa limepata pengo kuondokewa...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, kufuatia...
Naibu Waziri Salome:Mradi wa upanuzi wa kituo cha kupoza umeme cha Kinyerezi I Extension umekamilika
📌 Utaimarisha upatikanaji wa umeme Mbagala na Gongo la Mboto 📌 Majaribio yameanza; Shukurani kwa Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa...
Na Esther Macha,TimesmajiraOnline,Mbeya MWANAMKE Mmoja aitwaye Marry Timotheo mkazi wa kijiji cha Garijembe kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya anashikiliwa...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Uwakilishi, iliyofunguliwa na waliokuwa wagombea wa ACT-Wazalendo, imetajwa kwa mara...
*Mtuhumiwa anusurika kifo baada ya kunywa sumu Na Moses Ng’wat, Timesmajira Online-Mbozi Obadia Mpenzu (22), mkazi wa Kitongoji cha Majimoto,...
Na Mwandishi Wetu Timesmajira Online-Sikonge MADIWANI wa Halmasahauri ya Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora wametakiwa kwenda kutumikia wananchi kwa kasi...
