Na Mwandishi wetu, Timesmajira Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeanza utekelezaji wa mpango kabambe wa kuimarisha njia za kusambazia umeme...
Na Heri Shaaban, Timesmajira Online,Ilala MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Dar es Salaam Abas Mtemvu,ameagiza Kamati za Siasa...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Serikali chini ya Rais Dkt. Samia...
Na Heri Shaaban, Timesmajira Online,Dar MKUU wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo , ameagiza miradi yote ya maendeleo wilayani humo,ikamilike...
Na Mwandishi Wetu,Timesmajiraonline,Manyara MAKAMU Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora,Mohamed Khamis Hamad ametoa wito kwa wakazi...
Na Israel Mwaisaka, Timesmajira Online,Nkasi Nyumba 29 zimebomoka na nyingine zikiezuliwa paa,baada ya mvua ilioambatana na upepo mkali kunyesha katika...
Na. Mwandishi wetu,Timesmajira Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO ) limefanya mazungumzo ya awali kuelekea makubaliano ya biashara ya mauziano...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto...
Na Agnes Alcardo, Timesmajira Online KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi,ametoa wito kwa viongozi wa...
*Kamati ya Bunge uwekezaji wa mitaji ya umma yataka mradi ukamilike kwa wakati *Wakazi 450,000 kunufaika na mradi Judith Ferdinand,...