Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na Papa...
Na Daud Magesa, Timesmajira Online, Mwanza DIWANI wa Kata ya Mahina (CCM),Alphonce Francis amesema mradi wa jengo la upasuaji la...
NA DAUD MAGESA, MWANZA TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza,inachunguza miradi 15 ya elimu,afya na maji...
Joyce Kasiki,Msomera Handeni MSOMERA KUMENOGA' ndivyo wanavyosema wananchi walioanza kuishi kijiji cha Msomera miaka mingi iliyopita pamoja na wale waliohama...
RAIS Samia ameandika historia kwa kukutana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa Kanitoli Duniani, Papa Francis, ambapo viongozi hao walikuwa na...
Na Mwandishi Wetu, timesmajira Online JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limesikitishwa na kifo cha Edward Ngoyai Lowassa, Waziri Mkuu wa...
Na Mwandishi wetu, Timesmajira Onine SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Wizara ya Afya, imeitaka kampuni ya simu ya mkononi Tigo...
Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka wananchi kuepuka matumizi yasiyo sahihi ya vidonge vya kuzuia...
Na Allan Vicent, TimesmajiraOnline,Tabora MIAKA mitatu ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan madarakani imeleta neema kubwa kwa wakulima wa zao...
Na Mwandishi Wetu RAIS Samia Suluhu Hassan, jana Februali 11, mwaka huu ameanza ziara yake Vatican kwa mwaliko wa Kiongozi...