Na Penina Malundo, Timesmajira Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO, Lazaro Twange amefanya ziara ya kikazi kwa kuitembelea...
Na Mwandishi wetu,TimesmajiraOnline,Dar RAIS wa Jamhuri ya Finland Alexander Stubb ameonesha kufuraishwa na uhifadhi wa historia uliopo katika makumbusho ya...
Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma WIZARA ya Madini imesema Sekta ya Madini nchini imeendelea kupiga hatua ambapo maduhuli ya zaidi ya shilingi...
Na Bakari Lulela, Timesmajira Online WITO umetolewa kwa waajiri kutekeleza wajibu wao kwa mujibu wa sheria huku wafanyakazi kuendelea kufanya...
Na Rose Itono,Timesmajira KAMPUNI ya Airtel Tanzania imezindua maduka mengine manne ya kisasa ili kuwapunguzia adha wananchi kutumia gharama kufuata...
Na Queen Lema, Timesmajira Online,Arusha Benki ya CRDB,imefanikiwa kupata faida ya bilioni 551 ambapo wanahisa wake watarajiwa kupitisha na kisha...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Kampuni...
Wataalamu wawaonya watumiaji wa mitandao ya umma Na Ismail Mayumba KATIKA ulimwengu wa sasa wa kidigitali, upatikanaji wa mtandao umekuwa...
Mwandishi: Ismail Mayumba INSTAGRAM ni mtandao wa kijamii unaoruhusu mtumiaji kupata huduma ya kushirikisha picha za kawaida na za video...
Na Mwandishi wetu,TimesmajiraOnline,Dar MKE wa Rais wa Jamhuri ya Finland Suzanne Innes ametembelea Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam...
