Joe Biden amesema Rais wa Marekani Donald Trump ''ameiweka Marekani kwenye giza kwa muda mrefu'' alipozungumza wakati akikubali kuteuliwa kwake...
Mkataba huo utamfanya kuendelea kusalia kwa wababe hao wa Chamazi hadi mwaka 2022. Tigere amekuwa na kiwango kizuri msimu uliopita,...
Alexei Navalny ambaye ni Mwanasiasa wa upinzani hana fahamu akiwa hospitalini kutokana na kile kinachoshukiwa kuwa ameathirika na sumu, msemaji...
Aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa klabu ya Simba Bw.Senzo Masingisa Mbatha kwa mara ya kwanza amefunguka sababu zilizompelekea kuondoka klabuni hapo....
Kocha mpya wa Barcelona Ronald Koeman anataka kumleta kiungo wa kati wa Liverpool na Uholanzi Georginio Wijnaldum, 29, Nou Camp....
Na Judith Ferdinand, TimesMajira Online, Mwanza JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu 21 kwa tuhuma za kufanya fujo...
Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online Masabumi Hosono aliyeishi duniani kati ya mwaka1870 hadi 1939, ndiye raia pekee wa Japan aliyenusurika...
Viongozi wa Jumuiya ya kiuchumi ya Afrika Magharibi ECOWAS wamekutana hii leo kujadili mapinduzi ya kijeshi nchini Mali, yaliyomuondoa madarakani...
Aliyekuwa kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Ufundi ndani ya Gwambina FC, amefunguka kuwa klabu...
Klabu ya KMC imeendelea kujiimarisha kuelekea msimu wa 2020-21 baada ya kumnasa aliyekuwa beki wa kati wa Lipuli David Mwasa....
