Na Mwandishi wetu,TimesmajiraOnline HALMASHAURI ya Wilaya ya Mkinga imekusanya mapato ya sh.Mil.280 sawa na asilimia 94 kwa mwaka 2024/2025 kupitia...
‎Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza uteuzi wa awali wa wagombea wa nafasi za ubunge kwa majimbo yote...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira Daktari Shaimaa Nawwar ,ameteuliwa kwenda kwenye kura za maoni Ubunge Viti Maalum kupitia Kundi la Vijana (UVCCM)...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira Mwenyekiti wa Shina la JPM lililopo kata ya Kariakoo na Mjumbe wa Baraza kwenye Jumuiya ya Wazazi...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) imejiwekea lengo la kukusanya kiasi cha Sh2 trilioni kama mapato yasiyo...
Judith Ferdinand, Timesmajira Online-Mwanza Imeelezwa kuwa umbali,ukosefu wa miundombinu rafiki katika shule za umma pamoja na walimu wenye uelewa juu...
Na Allan Kitwe, Timesmajira Online -Tabora TAASISI mbalimbali, wadau wa maendeleo na wakazi wa Mikoa ya Tabora, Kigoma na Mikoa...
Na Allan Kitwe, Timesmajira Online-Tabora MKUU wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha ameahidi kukodi mabasi ya kutosha ili kupeleka mashabiki...
Na Esther Macha,TimesmajiraOnline,Mbeya KUFUATIA vifo vya wanafunzi sita wa Shule ya sekondari Chalangwa iliyopo wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya...
Na Israel Mwaisaka, Timesmajira Online-Sumbawanga Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga imetakiwa kusimamia na kutekeleza mpango na mkakati wa kupunguza vihatarishi...
