PUTLAND, Gavana wa Jimbo la Puntland lenye utawala wake wa ndani nchini Somalia amejeruhiwa vibaya kufuatia mashambulizi ya kujitoa muhanga...
NAIROBI, Wizara ya Afya nchini Kenya imeanza kufanya upimaji wa virusi vya corona (COVID-19) kwa watu wote walioingia nchini humo...
BEIJING, Serikali ya China inasema kuna wagonjwa wapya 31 wa ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) na vifo vinne. Hayo...
LONDON, England KWA mara ya kwanza tangu vita ya pili ya dunia, mashindano ya 134 ya mchezo wa Tenisi ya...
Na Nuru Mkupa VIGOGO wa klabu Yanga wamemjia juu aliyekuwa kocha wao Mwinyi Zahera kufuatia kauli na maoni yake anayoendelea...
Na Penina Malundo na Bakari Lulela MBUNGE wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea amesema hana mpango wa kuhama CHADEMA kwa...
Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Madaktari Tanzania (MAT) kimeiomba Serikali kuhakikisha madaktari na wauguzi wanapatiwa vifaa vya kujikinga na ugonjwa...
Na Steven William, Muheza MAAFISA wa Idara ya Afya wilayani Muheza mkoani Tanga wamesambaratisha kundi la watu ambao walikuwa wamekusanyika...
Na Mwandishi Wetu ZIKIWA ni siku chache zimepita tangu Serikali kupiga marufuku usimamishaji wa abiria katika daladala hali iliyoleta changamoto...
Na Allan Ntana, Tabora WATU 5 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Tabora kuhusiana na mauaji ya askari wa Jeshi...