Na Allan Vicent, Tabora WAKULIMA wa kahawa zaidi ya 25,000 Mkoani Kigoma wameanza kunufaika na mbegu mpya za zao la...
Na Albano Midelo SHULE ya sekondari ya Kigonsera iliyopo wilayani Mbinga mkoani Ruvuma ina historia ya kipekee hapa nchini kwa...
Na Fresha Kinasa, Mara SERIKALI Mkoani Mara imewataka Wakuu wa Shule za Sekondari zote mkoani humo kusimamia suala la nidhamu...
Na Tiganya Vincnt, Tabora MKUU wa Mkoa wa Tabora Dkt.Philemon Sengati amekitaka Chama Kikuu Cha Ushirika Cha Wakulima Wa Tumbaku...
Na Mwandishi Wetu JESHI la Polisi nchini (TPF) limejipanga kuimarisha mradi wa utendajikazi katika kusimamia sheria ili kuzuia uhalifu pamoja...
Na Mwandishi Wetu, Times Majira Online SHIRIKISHO la mpira wa miguu Tanzania TFF, limezitaka klabu za Ligi Kuu ya Vodacom...
Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online, Geita SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) kupitia idara ya masoko, limeendelea na kampeni ya kutoa...
Na Mwandishi Wetu, Times Majira Online YANGA wameamua kuachana na Mbelgiji Luc Eymael, aliyefundisha kwa miezi kadhaa. Ni baada ya...
Na Judith Ferdinand, TimesMajira Online, Mwanza MAOFISA waandikishaji 60 wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Jamii iliyoboreshwa (ICHF) wa...
Baadhi ya maafisa wa mji wa Beirut wamewekwa katika kifungo cha nyumbani huku wakisubiri uchunguzi kuhusu mlipuko mkubwa wa siku...