Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mkuu wa Idara ya Biashara ya Serikali wa NMB, Bi. Vicky Bishubo (kushoto), alipotembelea banda lao na kumuelezwa kuhusu jitihada zao walizofanya kutoa Hati Fungani ya ‘Jasiri Bond’ ambapo jumla ya Sh. bilioni 74.3 zilipatana kwa ajili ya kuwawezesha akina mama wanaofanya shughuli za kiuchumi kwenye sekta ndogo na za kati hapa chini. Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Ndg. Lawrence Mafuru (kushoto) akijadiliana jambo na Mkuu wa Idara ya Biashara ya Serikali wa NMB, Vicky Bishubo katika viwanja vya Rock City jijini Mwanza wakati wa hafla ya uzinduzi wa maonesho ya Wiki ya Huduma za Fedha kitaifa. Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema (kushoto) akijadiliana jambo na Mkuu wa Idara ya Biashara ya Serikali wa NMB, Vicky Bishubo, katika viwanja vya Rock City jijini Mwanza wakati wa hafla ya uzinduzi wa maonesho ya wiki ya Huduma za Fedha kitaifa. Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Mabenki Tanzania (TBA) Tuse Joune (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Idara ya Biashara ya Serikali wa NMB, Vicky Bishubo jijini Mwanza wakati wa maonesho ya wiki ya Huduma za Fedha kitaifa. Post Views: 389 Continue Reading Previous UVCCM Kisutu watoa msaada Photocopy MashineNext RC Makalla: Hakuna tena mgao wa maji Dar More Stories 2 min read Habari Miaka 20 jela kwa kuhujumu TANESCO May 4, 2024 Jackline Mkota 2 min read Habari Mfumo wa e-Board umeboresha uendeshaji vikao Ilemela May 4, 2024 Judith Ferdnand 4 min read Habari SOS Children’s Villages yawezesha ujenzi ofisi Dawati la Jinsia Nyamagana May 4, 2024 Judith Ferdnand
More Stories
Miaka 20 jela kwa kuhujumu TANESCO
Mfumo wa e-Board umeboresha uendeshaji vikao Ilemela
SOS Children’s Villages yawezesha ujenzi ofisi Dawati la Jinsia Nyamagana