January 23, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Nikki wa pili ala kiapo

Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online

MKUU wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge, amemuapisha Nickson Simon maarufu kama ‘Nikki wa Pili’ kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe akichukua nafasi ya Jokate Mwegelo ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.

Zoezi la kuapishwa limefanyika leo kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani iliyopo Kibaha.