January 7, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mzee jengua afariki

Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online

MKONGWE wa Tasnia ya maigizo nchini Mohammed Fungafunga maarufu kama Mzee Jengua amefariki dunia asubuhi leo Desemba 15,mwaka huu, huko Mkuranga, mkoani Pwani.

Marehemu alikua akisumbuliwa na Maradhi ya Kupararaizi.

Enzi za uhai wake, Mzee Jengua alikua akiigiza Maigizo kama vile Kidedea, Handsome wa Kijiji, Kashinde na zingine nyingi.

Mungu aiweke roho yake mahala pema