December 22, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mwenyekiti wa CCM Magufuli aongoza kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya Taifa ya CCM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichokutana leo Agosti 18,2020 Ikulu Chamwino Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John PombeMagufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi akijiandaa kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichokutana leo Agosti 18,2020 Ikulu Chamwino Dodoma.

Wajumbe wakiwa katika Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichokutana leo Agosti 18,2020 Ikulu Chamwino Dodoma.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Visiwani, Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasili tayari kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichokutana leo Agosti 18,2020 Ikulu Chamwino Dodoma. Pamoja naye ni Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Dkt. Bashiru Ally.