Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akimkabidhi Kamishna wa Maadili , Jaji Mstaafu Harold Nsekela Taarifa ya Mwaka ya Msajili wa Hazina kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019. Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika Ofisi ya Msajili wa Hazina wakati wa kikao cha pamoja kilichojadili namna bora ya kuimarisha ushirikiano kati ya ofisi hizo.
More Stories
Wakuu wa Wilaya,Wakurugenzi watakiwa kusimamia programu za chakula shuleni
Mbowe akuna wengi kuhusu maridhiano
Waziri Chana amuapisha Kamishna uhifadhi NCAA, ampa maagizo mazito