Na Agnes Alcardo, Timesmajira Online TV, Dar es Salaam
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amezindua rasmi maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja 2023, katika hafla iliyofanyika katika Tawi la Azikiwe Jijini Dar es Salaam, wakati akiwa mgeni rasmi katika hafla hiyo.

Aidha, Mpogolo ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuwa kinara katika kuchochea maendeleo ya kiuchumi kwa jamii, kupitia huduma wanazotoa kwa wateja wake.
Kwa Upande wake, Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja, Yoranda Ulio, amesema kuwa, katika maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja, kutaifanya benk hiyo kutambulika zaidi.

More Stories
Rungwe yajenga soko kukuza uchumi kwa wananchi
Waislamu Mwanza wapokea Ramadhani kwa maandamano ya kidini
Kamati ya kudumu ya Bunge ya utawala,katiba na sheria yaridhishwa ujenzi soko Kariakoo