December 28, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mo Dewji aongeza tiketi 5000 kuisapoti Stars

Na Mwandishi Wetu, Timesmajira

Katika kutoa hamasa na kuunga mkono timu yetu ya Taifa, Rais wa heshima katika klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji amejitolea kununua tiketi 5000, huku wadhamini wa Simba SC AfriCarriers wakinunua tiketi 2000.

Naye Azim Dewji na wafanyakazi wa kampuni yake wamenunua tiketi 1000, yote hiyo ni kuhakikisha mashabiki wanaujaza Uwanja wa Mkapa hapo kesho kuhakikisha Uganda anakufa.