January 3, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mnyika: Ukurasa mpya umeandikwa

Na Mwandishi Wetu, TimesMajiraOnline, Moshi

KATIBU Mkuu wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema ukurasa mpya umeendelea kufungulia ndani ya chama chao na nchi yetu na anaamini watasonga mbele mpaka kieleweke.

Mnyika alitoa kauli hiyo alipopewa nafasi ya kumkaribisha Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuzungumza kwenye Kongamano la Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.

Katika kongamano hilo, Rais Samia alikuwa mgeni rasmi. Ameshauri haya mambo mawili kupewa kipaumbe na vyama hivyo vikuu, moja kusikiliza Watanzania wanataka nini.

Pili Watanzania wanalilia hali ngumu ya maisha, Tume ya Uchaguzi na Katiba Mpya.