Na Mwandishi Wetu, TimesMajira,Online
MWENYEKITI wa BAWACHA Taifa, Sharifa Sulleman, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, kuangalia kwa jicho la tatu kesi inayowakabili wabunge 19 wa chama hicho.
Sharifa ametoa kauli hiyo kupitia hotuba yake ya BAWACHA kwenye kongamano la Siku ya Wanawake Duniani, ambapo Rais Samia alikuwa mgeni rasmi.

More Stories
Kikwete atangaza Mkutano wa Rasilimaliwatu Afrika
AHF yatumia uwezeshaji kupunguza VVU
CRDB yavutiwa na ubunifu wa vijana VETA, yatoa zawadi