Na Mwandhishi Wetu, Timesmajira
Kuna michezo mingi sana ya Kasino lakini sloti hii ya Book of Eskimo ni Zaidi ya mchezo ni uhalisia wa Maisha, Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuletea sloti hii ya kijanja inayokupa uhalisia wa mazingira halisi mchezoni ambapo ushindi unapatikana kwa namna ambavyo wewe unaweza kuvumilia baridi kwenye mazingira ya namna hiyo.
Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakurejesha kwenye simulizi za mabingwa kuhusu juhudi zao za kushinda kirahisi, moja ya kitu kizuri kutoka Sloti ya Book of Eskimo ni mchezo unaokupa nafasi ya kushinda kirahisi ni uwezo wako tu wa kuvumilia baridi unapokua mchezoni ndio kitu pekee kinachoweza kukupatia ushindi.
Sloti ya Kasino ya Mtandaoni ya Book of Eskimo na Ubora Wake
Sloti ya the Book of Eskimo ni sloti ya kasino ya mtandaoni imeandaliwa vyema na Studio za Expanse, unayoweza kuipata kwenye kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet.
Mchezo huu umetengenezwa kwa ubora ikiwa na mandhari ya kwenye baridi, ambayo ingekuhitaji kuwa na nguo za joto kidogo kuweza kufurahia kuwepo kwako eneo hilo.
Thamani ya ushindi was loti hii unaipata kwenye alama mbalimbali, huku alama za barafu za herufi A, K na Q zikiwa na ushindi mdogo zaidi, huku alama zingine zikiwa ni alama za kukusaidia wewe kuiepuka baridi, ukiwa kwenye mazingira hayo zikikusogezea ushindi mkubwa.
Sloti hii inalipa vyema kwa mistari 5, 3 na 10 ya malipo, ambayo Inaweza kukuvusha kwenye kipindi cha barafu na kukupa ushindi.
Unaweza kufurahia ofa nyingi sana ndani ya mchezo huu kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, wakati ukiwa karibu na ushindi wa jackpot mbali mbali za kasino. Tembelea kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kujaribu mchezo huu na michezo mingine mingi uwe moja ya mabingwa wengi wa kila siku.
More Stories
Zanzibar kuzalisha wachezaji wenye vipaji
Othman awakabidhi jezi Zanzibar Heroes
Rais Samia: Yanga endeleeni kuipeperusha bendera ya Tanzania