Matukio mbalimbali katika picha kwenye maadhimisho ya sherehe za miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Sherehe za Muungano hufanyika Aprili 26 ya kila mwaka tangu mwaka 1964 zilipoungana Tanganyika na Zanzibar ambapo mwaka huu zimefanyika Kitaifa katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam.
More Stories
Ramadhani Brothers watembelea Makao Makuu ya TANAPA
Wananchi waombwa kujitokeza kwenye mashindano ya Tulia Marathon
Jamii yaaswa kusaidia watoto yatima kutimiza ndoto zao