December 26, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Matukio ya picha katika sherehe za miaka 60 ya Muungano

Matukio mbalimbali katika picha kwenye maadhimisho ya sherehe za miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Sherehe za Muungano hufanyika Aprili 26 ya kila mwaka tangu mwaka 1964 zilipoungana Tanganyika na Zanzibar ambapo mwaka huu zimefanyika Kitaifa katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam.