December 25, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Matukio katika picha maadhimisho Siku ya Mazingira Duniani

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt . Philip Mpango akikata utepe kuzindua andiko la kampeni kabambe ya kitaifa ya uhifadhi na usafi wa mazingira kwenye Maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani nchini yaliyofanyika jana katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikagua bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na UNIDO wakati wa Maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani yaliyofanyika jana katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma.
Baadhi ya Mabalozi wa Mazingira Haji Manara na Yvone Cherry Maarufu kama Monalisa wakiwa katika maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani yaliyofanyika jana katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma.