Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online
Chama Cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam leo kimefanya uchaguzi wa kuchagua viongozi katika nafasi mbalimbali, watakaokiongoza chama hicho kwa kipindi cha miaka minne.
Nafasi hizo ni:-
MWENYEKITI
Wapiga Kura – 27
Lameck Nyanbaya (Mgombea pekee)
Ndio Kura – 27
Hapana – 0
Zilizoharibika – 0
MAKAMU MWENYEKITI
Wapiga Kura – 27
Benny Christopher Kisaka kura 18
Amour A. Amour – 4
Benjamin Mwakasonda – 3
Salum Mwaking’inda – 0
KATIBU
Wapiga Kura – 27
Msanifu Kondo (Mgombea pekee)
Ndio – 27
Hapana – 0
Zilizoharibika – 0
MWEKA HAZINA
Wapiga Kura – 27
Issa Masoud 25
Ally Hassan Hobe – 2
MWAKILISHI MKUTANO MKUU -TFF
Wapiga kura – 27
Shaffih Dauda Kajuna (Mgombea pekee)
Ndio – 27
Hapana – 0
Zilizoharibika – 0
MWAKILISHI WA KLABU
Wapiga kura – 27
Funua Ally Funua (Mgombea pekee)
Ndio – 25
Hapana – 2
Zilizoharibika – 0
WAJUMBE WATATU KAMATI YA UTENDAJI
Wapiga kura – 27
- Ramadhani Saidi Shauritanga – 24
- Chichi Hassan Mwidege- 22
- Ramadhani s. Misiru – 21
- Sunday R. Mwanahewa – 8
- Hawa Suleiman Makweta – 0
More Stories
Kasulu FC mabingwa mashindano Khimji 2025
Fainali Khimji cup kufanyika Februari 7,2025
Naibu Waziri wa Fedha abariki ujio mpya wa Bahati Nasibu