December 24, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mapokezi ya Mgombea Urais Zanzibar katika picha

Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akihutubia kwenye mapokezi yake katika mkutano uliofanyika kwenye uwanja wa Afisi Kuu Kisiwandui mjini Zanzibar. Picha na Martin Kabemba
Dk.Ali Mohamed Shein akihutubia kwenye mkutano wa mapokezi ya Dk. Hussein Mwinyi kwenye uwanja wa Afisi Kuu Kisiwandui Zanzibar,Picha na Martin Kabemba
Wanachama, viongzi wa CCM na wananchi wakubwa kwa wadogo walijumuika kwenye uwanja wa ndege wa Karume Zanzibar kumpokea Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi. Picha na Martin Kabemba
Ali Kiba akipongezwa na Makamu wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dk.Mohamed Gharib Bilali baada ya kutumbuiza kwenye mkutano wa mapokezi ya Dk. Mwinyi kwenye uwanja wa Afisi kuu Kisiwandui mjini Zanzibar leo. Picha na Martin Kabemba