January 12, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Kabla ya uteuzi huu Makonda alikuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM).

Ambaye anachukua nafasi ya John Vianney Mongella ambaye atapangiwa kazi nyingine.