December 27, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Makonda atembelea Kaburi la Hayati Magufuli

Na Jackline Martin, TimesMajira Online

Leo Katibu wa NEC, Itikadi, uenezi na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ametembelea Kaburi la Hayati Rais John Pombe Magufuli.

Hii ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika mikoa ya Kanda ya ziwa iliyoanza Novemba 9 mwaka huu.