January 22, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Makonda apokelewa na viongozi mbalimbali Arusha

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Viongozi mbalimbali wa Chama, Serikali, Dini na Wazee Pamoja na Wanachi wamejitokeza kwa wingi katika Ofisi ya Mkoa wa Arusha kumpokea na kumkariisha Paul Makonda ambaye ndiye Mkuu wa Mkoa huo kwasasa, leo tarehe 8 Aprili, 2024.