January 23, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar ashiriki uzinduzi DNATA

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud Othman, amehudhuria Uzinduzi wa Huduma za Kampuni ya Usafirishaji ya DNATA hapo ‘Terminal 3’, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Kiembesamaki, Unguja.

Hafla hio iliyofanyika leo Januari 26, 2023 imeongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi.