Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud Othman, amehudhuria Uzinduzi wa Huduma za Kampuni ya Usafirishaji ya DNATA hapo ‘Terminal 3’, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Kiembesamaki, Unguja.

Hafla hio iliyofanyika leo Januari 26, 2023 imeongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi.

More Stories
DCEA yazionya gari za msiba kusafirisha dawa za kulevya
Wachimbaji wahamasishwa kutumia Teknolojia uchimbaji madini
Bura awataka wananchi kulinda Miundombinu, kutumia nishati safi