Na Haji Mtumwa, TimesMajira Online, Zanzibar
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Alhaj Othman Masoud Othman, leo amejumuika na Viongozi na wananchi mbalimbali katika Maziko ya Shangazi wa Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Mhe. Omar Said Shaaban.
Marehemu Bi. Jokha Ali Salim, alifariki dunia jana Juni 25, katika Hospitali ya Rufaa Mnazimmoja na kuzikwa leo Juni 26, katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.

Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahala pema Peponi, Amin!

More Stories
Wadau wahimizwa kukomesha changamoto ya Taulo za kike shuleni
Mradi wa pamba unavyosaidia kupiga vita Ajira za Watoto
Mshtakiwa wa tatu aunganishwa kesi ya mauaji