MAKAMU Mwenyekiti wa ACT – Wazalendo ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Â Othman Masoud Othman, leo amejumuika pamoja na Viongozi, wanachama na wafuasi wa chama hicho, katika mkutano wa hadhara huko Uwanja wa Kwabamgeni Pangawe, Mkoa wa Mjini Magharib Unguja.
Mkutano huo ambao ni muendelezo wa mikutano ya hadhara umeongozwa Mwenyekiti wa Chama hicho Taifam Juma Duni Haji.
Katika Mkutano huo amehudhuria pia Naibu Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui.














More Stories
Msigwa :Wakuu wa mikoa andaeni maeneo ya upandaji miti
Waziri Mkenda aeleza Tanzania ilivyoweka mikakati madhubuti Teknolojia ya Akili Unde
Polisi Mbeya yajivunia miaka minne ya mafanikio