Majeruhi wa ajali ya Treniya Reli ya Kati wakipokelewa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma usiku tayari kupatiwa huduma za matibabu.
Watu watatu walikufa na 66 kujeruhiwa katika ajali hiyo iliyotokea juzi eneo la Kigwe, Bahi mkoani Dodoma.
Post Views: 1,231
More Stories
TASHICO,yatoa ufafanuzi Mv.Serengeti kutitia upande mmoja
TAG yampongeza Rais Samia
CCM Tabora yamfariji mjane wa kada anayedaiwa kujiua