Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu baada ya kuzungumza nao, ofisini kwake , Mlimwa Jijini Dodoma, Januari 10, 2022. Kutoka kushoto, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. John Jingu, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na uratibu, Ummy Nderiananga, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na uratibu, Dkt. Pindi Chana, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Viana na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Patrobasi Katambi na kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Jamal Katundu. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu, Ofisi ya Waziri Mkuu baada ya kuzungumza na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu, ofisini kwake , Mlimwa Jijini Dodoma, Januari 10, 2022. Kushoto Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. John Jingu na kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Jamal Katundu. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri baada ya kuzungumza nao pamoja na Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu baada ya kuzungumza nao, ofisini kwake , Mlimwa Jijini Dodoma, Januari 10, 2022. Kutoka kushoto,  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. Pindi Chana, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako na kulia  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Patrobasi Katambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Post Views: 604 Continue Reading Previous Rais Samia atoa salamu za pole kufuatai ajali iliyoua watu 14Next RC Makalla atoa maelekezo matano kwa walimu wakuu DSM More Stories Habari TASHICO,yatoa ufafanuzi Mv.Serengeti kutitia upande mmoja December 27, 2024 Judith Ferdnand Habari TAG yampongeza Rais Samia December 26, 2024 Judith Ferdnand Habari CCM Tabora yamfariji mjane wa kada anayedaiwa kujiua December 26, 2024 Judith Ferdnand
More Stories
TASHICO,yatoa ufafanuzi Mv.Serengeti kutitia upande mmoja
TAG yampongeza Rais Samia
CCM Tabora yamfariji mjane wa kada anayedaiwa kujiua