Ratiba ya ligi kuu imekwishatoka huku mechi mbali mbali ngumu na nyepesi zikitegemewa kurindima kwa miezi tisa. Kwa upande wa Azam wao wataanza na Polisi Tanzania tarehe 7 huku mchezo wa kwanza na Yanga utapigwa tarehe 15 Novemba na mchezo wa pili utapigwa tarehe 04 April.
Klabu hiyo itacheza mchezo wake wa kwanza dhdi ya Simba tarehe 27 Disemba huku mchezo wa pili itacheza nao tarehe 10 mwezi mei mwaka 2021. JMechi hizi zote zitapigwa dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam
More Stories
Zanzibar kuzalisha wachezaji wenye vipaji
Othman awakabidhi jezi Zanzibar Heroes
Rais Samia: Yanga endeleeni kuipeperusha bendera ya Tanzania