Picha zikionesha matukio mbalimbali ya mkutano wa kwanza wa Kampeni wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu (akiwasili, akipokelewa, akihutubia na wananchi wakifuatilia kwa namna mbalimbali) mkutano uliofanyika mapema asubuhi leo (Jumatano, Septemba 16, 2020), katika Uwanja wa Mlimareli, Mbalizi, mkoani Mbeya.
More Stories
Mpango ashiriki mazishi ya Mama yake Serukamba
27 kulipwa kifuta jasho Nkasi
Mwakilishi Mkazi wa UN nchini awasilisha hati