January 22, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

HABARI PICHA:Mradi wa ujenzi wa Vihenge, maghala na majengo ya ofisi Manyara

Mhandisi Mkazi wa mradi wa Ujenzi wa Vihenge vya kisasa katika kituo cha Babati mkoani Manyara Baraka Mpembeule, akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya (katikati), alipokuwa akikagua mradi huo
Muonekano wa vihenge vya kisasa katika kituo cha Babati mkoani Manyara, vilivyojengwa na kampuni ya Unia Sp.o.o ya nchini Polland, kwa gharama ya shilingi bilioni 18.59 na kusimamiwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA). Vihenge hivyo vina uwezo wa kuhifadhi jumla ya tani 40,000 za mazao
Muonekano wa vihenge vya kisasa katika kituo cha Babati mkoani Manyara, vilivyojengwa na kampuni ya Unia Sp.o.o ya nchini Polland, kwa gharama ya shilingi bilioni 18.59 na kusimamiwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA). Vihenge hivyo vina uwezo wa kuhifadhi jumla ya tani 40,000 za mazao. Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.