March 29, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Habari katika picha; Benki ya TPB ikikabidhi msaada wa mahitaji maalum kwa wanafunzi

Afisa Masoko wa Benki ya TPB, Dorothea Joseph (katikati), akizungumza baada ya kutoa msaada wa mahitaji maalum kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Sinza Kitengo cha Mahitaji Muhimu. Hafla hiyo imefanyika jana. Kulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo hiyo, Catherine Msese (kulia).
Afisa Masoko wa Benki ya TPB, Dorothea Joseph (katikati), akitoa msaada wa mahitaji maalum kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Sinza Kitengo cha Mahitaji Muhimu kwa Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Catherine Msese (kulia). Msaada huo umetolewa jana.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Sinza Maalum, Catherine Msese (kulia), akishukuru msaada uliotolewa na Benki ya TPB kwa shule yake. Hafla hiyo imefanyika shuleni hapo jana.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Sinza Maalum, Catherine Msese (kulia) na Afisa Masoko wa Benki ya TPB, Dorothea Joseph, wakiwakabidhi wanafunzi baadhi ya misaada hiyo kwa ajili ya kuihifadhi stoo. Na Mpigapicha Wetu.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Sinza Maalum, wakipiga picha na misaada yao waliyokabidhiwa na Benki ya TPB, katika hafla iliyofanyika juzi shuleni hapo. Picha zote na mpiga picha wetu.