Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo nchini (TADB), Japhet Justin (kushoto) akisikiliza jambo kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa African Guarantee Fund (AGF) Jules Ngankam (kulia) mara baada kutiliana saini Randama ya Makubaliano ya kutoa dhamana ya mkopo wa kiasi cha dola za Marekali Milioni 20 kwa wakulima wadogo, wakati na wakubwa. Katikati ni Kamshina wa Idara ya Maendeleo ya sekta ya fedha Wizara ya Fedha na Mipango,Dkt. Charles
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Nchini(TADB), Japhet Justine (kushoto) akionesha randama ya makubaliano mbele ya waandishi wa habari akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa African Guarantee Fund (AGF), Jules Ngankam yenye lengo la kutoa dhamana ya mkopo wa kiasi cha dola za Marekali Milioni 20 kwa wakulima wadogo, wakati na wakubwa hapa nchini. Katikati ni Kamshina wa Idara ya Maendeleo ya sekta ya fedha Wizara ya Fedha na Mipango,Dkt. Charles Mwamwaja. Picha zote na mpiga picha wetu.
More Stories
Serikali ,Washirika wa Maendeleo waweka mkakati utekelezaji Dira ya 2050
Benki ya Exim yazindua suluhisho la malipo ya kisasa kwenye Z- Summit 2025
DCEA yateketeza zaidi ya ekari 300 za bangi