Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Japhet Justine (kushoto), alipoitembelea benki hiyo jana jijini Dar es Salaam kuzungumzia uwekezaji na maendeleo ya kilimo ya mkoa wa Ruvuma.
More Stories
Ilemela yatenga milioni 920 kwa ajili ya mikopo ya vikundi
Tabora Network yawezesha vijana kiuchumi
Wanawake watakiwa kutochafuana kuelekea uchaguzi mkuu